Just done a non stop round trip Nairobi - Sabatia - Kakamega - Nairobi. Ndo nimeingia kwa nyumba. Left on Thursday night...those roads should be part of a 1000 ways to die.Damn. Kutoka na kurudi ukiwa mzima ni baraka jo
Ulipitia Kapkangani?Just done a non stop round trip Nairobi - Sabatia - Kakamega - Nairobi. Ndo nimeingia kwa nyumba. Left on Thursday night...those roads should be part of a 1000 ways to die.
I saw Shamakhokho,Musasa,Chavakali,Kapsabet and a host of other nondescript trading centres...Ulipitia Kapkangani?
Hio barabara bado ni shamba?I saw Shamakhokho,Musasa,Chavakali,Kapsabet and a host of other nondescript trading centres...
Kwanza Sabatia to Chavakali...jayso!!! It's like some one went digging potholes every few metres...Hio barabara bado ni shamba?