Jug
Elder Lister
Ii maneno ya kufuliza madeni naona inaandamaa ii nchi kila mahali. Uko juu Uhunye anacheza kiyeye na mafuliza kutoka kila pande ya dunia. Raia pia nao hawajabaki nyuma nikufuliza tu.
Ii maneno ya Fuliza nilikata, Mshwari pia nayo niliwachana nayo, iyo rat race ilikuwa inanimaliza.
#KukopaNation, #Fuliza tings
Ii maneno ya Fuliza nilikata, Mshwari pia nayo niliwachana nayo, iyo rat race ilikuwa inanimaliza.
#KukopaNation, #Fuliza tings
Last edited: