wrongturn Elder Lister Mar 11, 2024 #1 Wanataka tukule wapi? Au tufanyie wapi biashara zetu? Na kura hata hawapigi. Kazi ni masuti faded na gloomy faces wakienda kutujengea manyumba
Wanataka tukule wapi? Au tufanyie wapi biashara zetu? Na kura hata hawapigi. Kazi ni masuti faded na gloomy faces wakienda kutujengea manyumba