Dashboard Restoration

Nameless

Elder Lister
Vipi wadau, kuna venye dashboard yangu imechapa because of the sun.

My usual mech hana specialization ya upholstery. Ni wapi mnajua wanaweza nifanyia job fiti?
Shukran.
 
1634886542658.png
1634886604338.png
1634886576814.png
 
Back
Top