D- talking sense

Meria

Elder Lister
EUCDUUSWAAAcIg1.jpg

Gavana Joho amesema serikali yake imetenga kima cha shilingi 200M za kuyakidhi mahitaji ya familia zisizojiweza endapo marufuku ya kutotoka nje yatatekelezwa kikamilifu. Joho amesema kila mkazi wa Mombasa atasambaziwa kiwago fulani cha fedha.
EUCMzghWkAACThi.jpg

Mombasa County Government has set aside Sh 200m to cushion residents in case the country goes on a lock down. Governor Hassan Joho has however maintained that the best way to contain the COVID-19 spread is by a total lock down.
 
Back
Top