Introvert
Elder Lister
Melia nilikuambia utalia machoss...Bike yake ni Bianchi
Italian made too.
Bianchi yangu iko garage kwa @Introvert
Hope hajatoa catalytic converter
Full Campagnolo.

Melia nilikuambia utalia machoss...Bike yake ni Bianchi
Italian made too.
Bianchi yangu iko garage kwa @Introvert
Hope hajatoa catalytic converter
penda sanaaaa
cc @The.Black.TemplarNiulize, ukitaka baiskeli hii Nairobi wapi kuzuri badala ya Karura? Niko na marafiki wameanza hii maisha na wanaisifu sana
Shaitan, kwani iko na? Nimeona picha za bibi ya Ruto anakaa amependa hii baiskeli sana
Mnaendelea kutega kasaman.Campagnolo
The only kitambi not allowed near the bike ni ya Cyprian. My ideal bike must have a provision ya kufunga mzigo .Kuna siku nimeenda pale Quickmart just opposite Kamakis with a bike .I did my shopping and while paying nikaambia attendant aziweke back kwa trolley I will pack them nikitoka inje . Nilipoanza kusukuma trolley heading out the one of the staff akaniambia eti ata nisaidia and insisted .Ikabidi nimemwachia trolley asukume .The lady akaongoza heading to the parking ndio akaniuliza ume park wapi and I said while laughing " next na cylinder za gas " . Alinisaidia to pack the shopping into a plastic boxy container that I had fastened kwa kiti ya bike .After I was done nika appreciate usaidizi wake with a sincere Thank you and left . It was the most awkward bike moment since alisimama hapo mpaka nikatoka kwa parking ya supermarket .How do you balance a kitambi on top of such a contraption?![]()
![]()
Oh shïettMnaendelea kutega kasaman.
Looks like a Quickmart policy. Such small gestures are making them very endearingNilipoanza kusukuma trolley heading out the one of the staff akaniambia eti ata nisaidia and insisted .Ikabidi nimemwachia trolley asukume
Hio sio PR mzae she literally cycles around 150kms, very few cyclists wanabes can match up to herHustler PR.
alikua anataka tipLooks like a Quickmart policy. Such small gestures are making them very endearing
Quickmart wako hivo , customer service poa sana .alikua anataka tip