Barca VS Man U

United playing using tactics of prime Stoke. Wanangoja tu counters.
Mashabik nao wanangoja draw @Denis Young
Ala! Huoni vile Barca wamekunja mkia wakaanza kumisplace passes? Hehe. It is a good game but it is pretty clear one team is better technically. Hapa ndio mbio ya Varane inasaidia sana. Imagine kama ingekuwa Magwaya anakimbizana na Lewandowski.
 
Marcos Alonso amesema ikuwe 1-0. That Sancho miss will be rued.
 
Back
Top