Iko ka ukweli hapo, na baafrika?Chinese graduates go back to China to build the Alibabas, while their Indian counterparts' greatest aspirations is to slave for American shareholders.
Hao bora they make it onto mzungu land wanaona wamefika paradise. I have an uncle alikuwa anauza mitumba hapa, akapata nafasi akakimbilia huko akidhani the grass is greener. The guy siku hizi ni kulia lia tu kwa Zoom callsIko ka ukweli hapo, na baafrika?
Kijana mdogo takkes over the reins of twitter
Bahindi hashikiki, mtalijua India
Ma hater hawachelewi
Africans wale tunapeleka ng'ambo ni wale dumb. They are happy with whatever they get, na kutuletea ideologies za upuzi.Iko ka ukweli hapo, na baafrika?