Ungesema kanyoka. Watu hawako EPL next season (although walitulima 5-2).Manze nilikuwa nimesema sitawatch game ingine this season but kuna mtu aliwahi sema you can leave your partner, your job or even your country.. But a true fan will never leave their team hehe
Real 1-2 SevillaAc Milan pia inaua nyoka. Real 1 Sevilla 1 so far.
Real 1-2 Sevilla
Pia legue 1 iko sambamba PSG wame draw Na Rennes . Bundesliga Na Epl same old shit but manUre wanakaribiaLa Liga title race is tighter than a virgin's pudesh. It has ended 2-2.
Tuwachieni tafadhali. Ile Europa final ya 2019 ata hamkuwa na haja nayo and still stuffed us when it was the only route to UCLTukutane Wednesday.
Lakini Rudiger na Christensen wako na injury. Anyway, hiyo game sio ya maana vile...