Are these types of songs still produced

By M'Bilia Bel
Jua ni moto
Tena ni mwangaza ya dunia
Jua, maji, mwezi, nyota, upepo na
Udongo
Ni uzima wa binadamu
Nadina yooo Nadina yoyo
Nadina yooo Nadina yoyo
Tuombe mungu baba yoyo
Atuhurumie dhambi zetu mama
Hata uko mwenye dhambi rudisha
Roho
Nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu
Alikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Hata uko mwenye dhambi rudisha
Roho
Nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu
Alikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Samaki nyama, majani vidudu
Au dege ni uzima wa binadamu
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki
Nadina yooo Nadina yoyo
Nadina yooo Nadina yoyo
Tuombe mungu baba yoyo
Atuhurumie dhambi zetu mama
Hata uko mwenye dhambi rudisha
Roho
Nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu
Alikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Hata uko mwenye dhambi rudisha
Roho
Nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu
Alikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Samaki nyama, majani vidudu
Au dege ni uzima wa binadamu
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki
Nadina yo Nadina mama
Rudisha mwili na roho nyuma mama
Mimi fasi niko hoi inagonga
Yee yee oh Nadina yee yee
Unipe mapenzi yako yote ye yee
Yee yee oh Nadina yee yee
Oh Nadina bibi ee
 
The only kind of music I play on my 650 KM drive to Kampala and back. Mziki imetulia, inatuliza bongo.










That Nasi nabali version ni ya faya Tess. Ironically it talks about pride in marriage and they ( faya Tess and mbilia) were at some point married to the maestro that discovered them Pascal
 
The early 90s nilikuwa kipii probably Nursery or pre-unit and these songs were being played on the radio around 12-1pm after school pamoja na ile ya "kifo kifo kifo hakina huruma" but never understood what they meant.
ION as young as I was nilikuwa nimekufia class teacher...there was something with her miwani...looked kind of attractive if not sexy.
 
Back
Top