Ancient 'valuable' coins

Sonko

New Lister
Wadau,what's the story behind these ''valuable" coins.
Majority najua ni washwash,but could there be a valuable story behind these coins!
Leteni maoni,wasee wa washwash come closer
 
Attachments

  • images (3) (1).jpeg
    images (3) (1).jpeg
    77.6 KB · Views: 141
Wadau,what's the story behind these ''valuable" coins.
Majority najua ni washwash,but could there be a valuable story behind these coins!
Leteni maoni,wasee wa washwash come closer
@Sonko DCI wamekubali utumie mtandao ukiwa ndani?

Lakini usijali yote yatapita ukijifunza kucheza chini.

About the coins, maisha imekuskuma hadi unataka kuuza coins na kujoin wash wash?

Rudi tu uombe msamaha na udelete clip zote umekuwa ukiblackmail watu nazo alafu utarudishiwa cheo ya 'gova wa kanairo'.
 
Najaribu kunyamaza ,lakini haiwes...
I'll be back,soon
 
Back
Top