10PM - 4 AM

Jug

Elder Lister
Masaa ya Curfew bado ni ile ile. "PRESIDENT Uhuru Kenyatta extends nationwide curfew ahead of school reopening, Interior CS Fred Matiang'i announces".( Source MMN). Tukubali Mkoloni bado yuko nasi
 
1609675019647.png

1609675027659.png

1609675035419.png

1609675045974.png
 
watu wanaishi Kitengela na sides za Rongai na sides za kikuyu, itabidi mtafute lodging town ama mkue mnalala kwa office juu ile jam itakua kuanzia kesho, wacha tu.
na vile mvua pia inabisha Hodi. na the earliest barabara zinajengwa kumalizwa ni next year, hio curfew itawaweza.

but naona itasongeshwa hadi 11 ndio watu wakuwe wanafika home
 
Back
Top