No I didn't bribe hata connections sikuwa nayo, the engine was not starting. Mimi nilienda na mechanic wangu akanishow pump ya mafuta ni mbaya nika take risk 40% cheaper compared to the market value. Ilikuwa imekaa kwa yard like one year. Siku ya kuchukuwa I just bought insurance na fuel pump...