Shida admin amelalisha hii kijiji setup ni kaa ya ile kijiji yetu shida tu ni admin na hizi silly unnecessary policies ya kumicromanage kila kitu bure kabisa
Kwani ata siwezi like comment admin wa huku unalalisha sana...bado when commenting the comment has tò still go through approval....admin wa huku wacha za ovyo wake up from your sleep and take advantage of Kenyatalk messup kila mtu sai angekuwa huku
Sijui admin wa huku but bana changamsha hii kijiji yako bana....yaani when one posts tena lazima it's verified before it being uploaded tunataka real time updates bana....sande sana