Nimekaa hivi nikakumbuka tukiwa Primary, wale madem walikuwa wanaringa usikunywe maji kwa water bottles zao na mdomo 😂
Wanakumwagia kwa mdomo ni kaa manna from heaven🚰😂😂 sai wana mwagiwa kwa mdomo like nobody's business :ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO: