I remember nkiwa pale high school nlikua nasomea day school. Nkaingia office nkapata dimore yaani Mode aka teacher hayuko. Mimi na ujanja yangu nkaiba kofia yake nkajua Leo akule ujinga yake na upara wake. Jioni nkaenda nkaacha home where we used to stay with my uncle.
Kesho yake nkaraukia...