Raila Odinga in 2021 - Uhuru is not responsible for high cost of living. It is due to the Russia-Ukraine war that has affected global supply._
Raila in 2023 - Ruto is responsible for the high cost of living and we must ensure he brings it down._
Me - When did the war end?
Raila Odinga: Mliona jana Mama Ngina Kenyatta ametusiwa na hawa watu vibaya sana. Huyo mama alikuwa ameshikwa wakati wa MauMau akafungwa kule Kamiti. Sasa mama kama yeye ambaye ni 80 karibu 90, unaenda kumtusi ya nini? Ni rika ya nyanya yako