Mzee mmoja wa umri wa miaka 42, ambaye pia ni Chifu wa lokesheni ya Ndorio, huko Alda, amejitoa uhai kwa kunywa dawa ya kwekwe aina ya “Round Up.’ Hii ni baada ya kumfumania mkewe wa ndoa akikandwa viungo nyeti na ndume moja ambalo pia in afisaa wa polisi wa AP katika kambi ya Chifu huyo. Baada...