Imagine mabeshte wako wamekusave eunuch harafu wewe uende online kutafuta lanye aone hio jina si atafikiria wewe ni serial killer?hio ni example nimepatiana usi catch
Yaani nyinyi manugu mkifanyishana na mtu biashara ya online kumbe mnaenda tru caller mnangalia vile anaitwa huko ndio mjue kama biashara itaendelea au la