Last year nikakunywa pombe nyingi uko kazi nika chew blackout nyama ikiwa kwa jiko....
Sufuria ilichemka ikaisha, nikamka usiku kuko na moshi mingi kwa nyumba nikigongewa mlango. Kukimbia jikoni Nikapata sufuria ikiwa red hot 😁 imeisha ikiwa ime drip chini @4am