Sasa Msiongee Na Fisi, KWS Inakuja Kuwaondoa, Wakazi Wa Juja Waambiwa
By T L February 03, 2024
NA WANDERI KAMAU
SHIRIKA la Huduma kwa Wanyamapori Kenya (KWS) limetakiwa kuharakisha mchakato wa kuwahamisha fisi ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakazi katika eneo la Juja, Kaunti ya Kiambu.
Mnamo...