Area za Kangundo road, wanakuja usiku na kubeba any kind of livestock yenye wanapata except sunguch, juzi walinibebea 4 guineafowls, 3 turkeys na kuku ka 20. wachomwe kabisa na magari zao. Hadi sai hakuna mtu anataka kufuga kuku mob, na unajua commercial poultry farming entails rearing hundreds...