Wakitangaza saa hii ati Raila ndiye mshindi, lazima Kenya kitanuka. Watu wanafaa kukubali matokeo tu, maisha yaendelee. Pia Uhuru walisema ana pesa kwa hiyo hakutakuwa na ufisadi katika serikali yake lakini matokea tuliyaona sote. Hadi watu wa familia yake walitajwa kama washiriki wakuu. I don't...