Search results

  1. Jug

    Toyota EVs

    Iyo ndio jina ya CEO and the Company name is pronounced that way also ii ya Toyota sijui ilitoka wapi
  2. Jug

    Toyota EVs

    Toyoda amesema hawatabaki nyuma in matters EV, they plan to roll out 15 EVs by 2030 seems they have moved away from the Hydrogen Concept. Watu wa ICE anzeni kujipanga Link:- https://insideevs.com/news/554352/toyota-lexus-preview-15-bevs/
  3. Jug

    From Mudete...

    Unaachaje Shamakhokho nje...u need two hot slaps.
  4. Jug

    FIRMULA 1: THE DECIDER

    Honda wanaexit na boom, Merc waliblanda wangepit
  5. Jug

    FIRMULA 1: THE DECIDER

    To the wire
  6. Jug

    FIRMULA 1: THE DECIDER

    Safety car....
  7. Jug

    FIRMULA 1: THE DECIDER

    Perez anaeza okoa jahazi he he
  8. Jug

    FIRMULA 1: THE DECIDER

    Pressure imefikia Max, he should keep it cool
  9. Jug

    FIRMULA 1: THE DECIDER

    http://weakstreams.com/streams/912 link ingine ndio hiyo
  10. Jug

    Badge Engineering

    The Handshake btw Toyota and Mazda imeanza kutoa Matilda, behold the Mazda "Yaris", walianza na Subaru "Ractis" sasa wameruka kwa Mazda, watu mnatoroka Otoyo lakini bado inawaandama kila mahali he he. The OG Yaris retails @3M mtumba straight from Japan wacha tungoje tuone bei ya ii knock off...
  11. Jug

    You suffer from MPD and CD - DP told

    Hivi ndivyo anangojewa...ii high boot tawe
  12. Jug

    Nick Mwendwa steps down as FKF President!

    Uyu aseme Govt ilimwambia tutakufinya akaona aondoke mara moja
  13. Jug

    BMW

    Team German waje wajitete wakiongozwa na BMW wakifuatwa na Audi, Team JDM led by Otoyo we are just chilling. Sample size ni 2,000. Link:- https://drivetribe.com/p/bmw-drivers-are-more-likely-to-QjYetA_1TKilhkW9SJQF6A?iid=QPJBQrKRQAac6LZyoGHx_g
  14. Jug

    State of the Nation Address 2021 Official thread

    Ii speech inakaa ilikuwa hekaya ya abunuasi
  15. Jug

    Car Import Sites

    Pitieni ii thread wadau, importing a car kumbe ni Russian roulette namna ii chambueni mlete legit sites wanaume wasizame. @zapp_brannigan naona Beforward pia kuna complains
  16. Jug

    Deep Sea Where Art Thou

    Hehe ni room ndio iko dark ama wewe ni "makaa" design iyo 😁
  17. Jug

    Deep Sea Where Art Thou

    Hehe lakini si wewe inakaa mtu ya mkono(hao ndio wanapiganga picha)...nice work
  18. Jug

    Deep Sea Where Art Thou

    Hapo kwa kina Mutheu, Mlolongo jamaa akashukia hapo Sabaki
  19. Jug

    Happy socks

    Lakini ii agwachane nayo kuna siku boyz aliwacha kiberiti nikabeba kufungua saw the stick wacha ni fungue session, niliiva only to realise ni nyaru...hehe nefer again
  20. Jug

    Deep Sea Where Art Thou

    Washa kindukulu uive ukijinice mdogo mdogo. High time it's legalised the youngins are walking chimneys yet it's illegal. The other day mwingine alisanif na kuroll kwa mat
Back
Top