Mimi bro alikuwa na hako kahoma nikapitia nikimgotea kumbe nilijikaanga mwenyewe last week nimepigwa na hako kahoma, experienced mild sore throat, headache kidogo dogo and general body weakness, running nose pia. Nimekuwa kijifunika from head to toe to keep myselefu warm