Mtu aandike kitabu on how hawa majamaa wanaarrive at the insane prices that they quote on the various vehicles kwanza salvage. Napiga laps on various car market sites na naweza sema as much as Konyagi ameangusha shillingi broker nao ni nani, wasiliiangusha zaidi.
Swali tu ka salvage inaenda na...