Sasa ii watu ilikuwa inaenda Greece ku verify vitu gani? Ni kugula tu tunajua....kila mahali tumbo kwanza...ii tender wapatie akina @Afro wachezange kiwao hapo rifa road
Enda tafuta yeye kwa list ya Senate kule Busia, lazma apige cambaign kwa ground. Above all wishing him the best na apite katikati ya fellow contestants