Wadau nahitaji usaidizi yenu pia mimi ni ngare na mawaidha yenu. Kuna boyz alishikisha gari "locally used" asha lipa all dues lakini hakufanya search ya Logbook sasa wanajaribu kufanya Transfer ya Logbook but TIMS inaonyesha "No Data Found" aki input vehicle details. Swali ni ii gari iko kwa...