Search results

  1. Jug

    CVT Manenos

    Saa ii siwezi laumu watu hawajui kudrive manual. Do you know it's almost impossible to find an MT Outback post 2012 or thereabouts. Sasa driving a car that is praised for iit's off road capabilities na line up mzima ni AT equipped by CVT for a 2.5l si hiyo ni hujuma "mushakulu"
  2. Jug

    CVT Manenos

    Kweli kabisa and the only compromise is to take the 1800cc or 2.0l ka mtu anaogopa 2.5l engine chini ya 1.8 ni blunder. Manual nazo zinapigwa vita nasi kidogo
  3. Jug

    Doktari Luther

    Naona tweet unavailable, mwenye alinimalisa ni alitweet "Doctors advice against junk food"
  4. Jug

    Ruto acknowledges Kalonzo

    Kajamaa kanajua kucheza game...hapo nayo nimekubali
  5. Jug

    CVT Manenos

    Najua kurudi kwa line yangu kama@meria kwa climbing lane shida ni wajinga wanataka kuovertake from the left nahata saa izo nimeindicate narudi kwa climbing lane
  6. Jug

    CVT Manenos

    Si mbaya per say lakini kuna mahali unahitaji iyo power gari inakata...hapo kinungi nilijipata nachezea 40kph unatamani kikanyaga accelerator to the metal lakini venye gari inahema unarudi unaionea huruma iyo ndio beef niko nayo na CVT although the car was slightly loaded. Mazda pia iko na CVT...
  7. Jug

    CVT Manenos

    Hehe gari iko na ii kitu is just a scam. Drove an Axio 1300cc equipped with a CVT, bana that thing is lazy. If you can get a AT without the CVT chukua bila kuangalia nyuma(Manual ni ya wachache siku izi). I would like to hit the road with the 2.5l Outback equipped with a CVT nione ka CVT is...
  8. Jug

    When it is from Mt Kenya it is selfish and tribal...

    Wacha pia mimi nifurute kiti yangu nikuje kwa ii Tent...fayolense everywhere, rusha ni rushe (mundu khu mundu)
  9. Jug

    morning accident

    Sieet...watu waendeshe kwa mwendo taratibu..."don't drink and drive"
  10. Jug

    Masaku F1 Circuit

    watu wa @Meria News Network nikaa waligoma, track inaka ivi
  11. Jug

    Matters Fuel Shortage

    Wewe kula Red Card for playing with intent 😂
  12. Jug

    EABL price increase

    Watu watembe Wesdan huko watu wanameza pure changa na hatuski stori za watu kukufa, bar na wines & spirit retailers uko ni moja moja
  13. Jug

    Masaku F1 Circuit

    Cobra squad anasema Circuit yenye alipromise watu wa Masaku iko ready, @Meria ambia watu wako wa MMNN watulete vitu kwa ground
  14. Jug

    In the headlines

    Hapo kwa the Star "10 Cleared to run for President" lakini wakenya wameona nugu mbili tu ndio wana vie, issorait
  15. Jug

    Matters Fuel Shortage

    Hehe...nchi ivunjiliwe mbali, ii watu ya Serikal wanatumianga akili wakikuja kusema maneno ka ii, the amount of stupid individuals kwa ii Govt is just staggering to say the least(apply some reasoning sikubebewa akili kila mahali) Govt apologists kazi kwenu
  16. Jug

    Why The Expressway Will Be A Killer...

    Speed limit iko 80kph
  17. Jug

    Careless Overtaking

    Hehe, wachana na NFS kaka braza...Nairobi - Nakuru Highway watu wanacheza na maisha za watu esp. when overtaking
  18. Jug

    Mafuta iko wapi?

    Yeah uko ni Jungle, seems EPRA only operates within Nairobi Metropolis, travelling back to jiji mafuta iko in plenty hapa Nakuru. Eldy I gave up jana stations katatu ndio zilikuwa na mafuta along the highway
  19. Jug

    D- Misbehaving

    Western Kenya D- imejaa kwa barabara, hehe wengine walitushika ati tuliover speed at a section 18km back
  20. Jug

    Mafuta iko wapi?

    Western part of the country iko shida, Kakamega also experiencing same issue
Back
Top