*MASOMO YA MISA*
*JANUARI 02, 2022*
*SHEREHE ZA EPIFANIA*
*SOMO 1*
*Isa 60:1-6*
Ondoka, ee Yerusalemu, uangaze; Kwa kuwa nuru yako imekuja. Na utukufu wa Bwana umekuzukia. Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika kabila za watu; Bali Bwana atakuzukia wewe, Na...