Ukiona chatu akivuka barabara simama kwanza apite.
Hii haitambui uko na gari gani ama umebeba tonne ngapi. Kuna kandere mmoja tulifanya nayeye kwa kampuni na alikua na experience ya miaka mingi.
Alinishow kuna siku alikua na container ya 40 feet ya spare parts za gari. Sasa alipoona hii kamba...