Yetu ilikuwa ya mbao. Ilikuwa na miguu kama stool. Heheheee... Ilikuwa imeandikwa national. Ilikuwa inafunikwa kitambaa... Kuna button ilikuwa inazungushwa from 1 to 10 ati kuchange channel. 1 ilikuwa inashika VOK, na 7 ilikuwa inashika tu hiyo hiyo VOK.. Zile zingime zilikuwa za mchele...