Search results

  1. JazzMan

    Toyota Crown SUV

    Watuwachie moja ya V6 tu, hiyo ndio naomba. Nimechoka kuona hutu tu-engine tudogo tunafinywa tutoe torque kama ya V8
  2. JazzMan

    This is Guka - Kimeniumania..............Niambieni Best Way ya Kujitoa...............

    Yaani guka aponee kudungwa dungwa hospitalini kwa sababu ya prostate cancer halafu bado ajirudishe kudungwa dungwa ndio apate za White Cap? Hamna huruma?
  3. JazzMan

    Flight suspended at Wilson coz of military operation

    Hakuna military operation, ni ile nyang'au ya state house inaenda kufungua stadium ya Ulinzi hapo Lang'ata Barracks
  4. JazzMan

    Mnaona mechi kweli?

    Bayern kutupwa nje pia ndio inatupa mashabiki wa Chelsea motisha ya kuongea hivi leo, hata kama moyoni tumehuzunika
  5. JazzMan

    Ultra-modern KDF Regional Hospital

    Ufisadi ni mbaya. Umeona picha za Garissa vile wamama watarajiwa wamefinyana kwa sakafu ya maternity?
  6. JazzMan

    Mnaona mechi kweli?

    Sio mimi, ni Rudiger ameteleza kwa mate ya Mendy
  7. JazzMan

    Mnaona mechi kweli?

    Eih, Mount and Rudiger with his first ever continental goal have put Chelsea 2-0 up, which means wamesawazisha aggregate. Bayern huo upande mwingine amekaziwa na Good Ebening
  8. JazzMan

    Dismissal Notice

    Huyo ako na kichaa. Risasi ya silver ama wooden stake tu ndio dawa yake
  9. JazzMan

    Engine cooling system: how it works and main components

    Zile fala za kung'oa thermostat
  10. JazzMan

    Ultra-modern KDF Regional Hospital

    Huyo wachana naye, utakuwa unatapa tapa kwa matope na nguruwe
  11. JazzMan

    Watu wa HKM: Mtageuziwa!

    Yes. Cap 62 clause 162, 163 and 165 http://www.kenyalaw.org/lex/actview.xql?actid=CAP.%2063
  12. JazzMan

    Huyu amepangwingwi

    Hatuwezi lipa hackers sasa vile Russia wanarusha makombora ovyo ovyo, wa-hack mbili ziangukie assimio na udaku hizi mashida zituondokee?
  13. JazzMan

    Ultra-modern KDF Regional Hospital

    Kwa hiyo picha ya mwisho, mbona watoto wanawekewa taa kama za bar za keg? Hivi ndio wanakuwa walevi mapema halafu tunazusha watoto wameharibika
  14. JazzMan

    Game Kubwa.

    Mumeona hii? Huyu jamaa amechoka bwana
  15. JazzMan

    Sema kufirwa. Sema kwa suti mpaka watu wote wasikie!!!

    Kuna ile sheria pia wamepitisha eti wakulima hawawezi gawana seeds. Kama unataka kugawa seeds, ukachukue license
  16. JazzMan

    Game Kubwa.

    https://socolive.pro/live-football-stream-11.html
  17. JazzMan

    Game Kubwa.

    May both teams lose.
  18. JazzMan

    You are staring at starvation right in the eye...

    Would this be enough to cushion Kenyans for a period?
  19. JazzMan

    You are staring at starvation right in the eye...

    Ile irrigation scheme ya Waisraeli iliendaje?
Back
Top