Kuna tofauti ya kupigana na gaidi wa msituni na gaidi wa nyumbani. Yule wa msituni unaweka utu kando unageuka mnyama. Huyu wa nyumbani unatandika kofi na kutoka nje kabla mushikiane visu. Sasa hapo kati kati hatujui labda alitandika gaidi wa nyumba kofi na akigeuka kwenda kutoka nje, gaidi naye...