Hii tabia ya kupeleka watoto rugongo Christmas kisha mnawaacha na sista ama bratha zenyu wako huko bila kuacha pesa za kutosha for them muache. Ati tumewaacha tutawakujia tarehe moja, so they have a week huko after sikukuu. At the very least aacha pesa zao za maintenance na pesa for your...