lakini hii tabia sana sana iko na Waafrika tu.. sijui kwanini.... huyo mwanamke alimsaidia ni wale wako na mother instincts... wale wanajua kuzalisha hata kwa mathree.. kuna siku niko kwa mathree.. mara ikasimama wanaume tukaambiwa tutoke... within minutes wamama walikuwa washaazalisha