hii kiburi ndio hufanya tubaki nyuma na mitaa yetu iwe chafu hivi... swallow that pride chukua kifagio make your workplace a pleasant place to be in.. sio lazima ufanyiwe na mtu mwingine
ni contract gani inawaruhusu wanafunzi kufanya hizo kazi? hiyo sio child labour? wewe hiyo cab yako ndani nani hukuoshea? mhindi analipa vijana wa mtaa wakutandikie kitanda?