Wa greek husema wendo ni wendo.. mapenzi ni mapenzi..
Thread ya @mzeiya imenikumbusha.. how I nearly became a muislam.. @Anglututu haikuwa kwa ubaya.. mapenzi tu..
I met amina pale shelly beach 2011..mdem ameiva ki kamilifu.... nikatongoza.. naye akaingia box.. mimi sipotezi muda.. I am on...