MASOMO YA DOMINIKA YA 6 YA MWAKA B WA KANISA*
SOMO 1: Law. 13;1-2, 44-46
Bwana alinena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Mtu atakapokuwa na kivimbe katika ngozi ya mwili wake, au kikoko, au kipaku king’aacho, nalo likawa pigo la ukoma katika ngozi ya mwili wake, ndipo atakapoletwa kwa Haruni...