Nimepata ka believer flani ka kanisa flani hizi za ma Televangelist hatari hatari Nairobi na kana niambia Sunday anipeleke kanisa...... Na kwani mimi ni nani( weka sauti ya DjShitti)
Ntamzindikiza just for Ile slice nono ya mkate infact slice ya boflo ntaichuna kubwa she won't believe.
Then...