Search results

  1. Kirwa

    Animal Phobia.... Tell me about yours

    Mimi chura na nyoka ndio naogopa sana.kuna siku chura ilikam kwa ploti nilikuwa naishi,kulikuwa na wamama tupu mimi ndio nilkuwa mwanaume tu.Nikaskia wamathe wananiita kuja haraka.Wueh nilipata chura ingine kubwa inainua kichwa ni kama inafanya push ups.Niliitoa tu heshima isishuke but ndani...
  2. Kirwa

    Sights And Sounds: Mombasa CBD Live

    Niko hapo tononoka mzito meria.stress taniua
  3. Kirwa

    Not just another cup

    Happy New Year wazee wenzangu. 95 nilikuwa class 2.
  4. Kirwa

    Stake ya weekend

    Wacha niekelee bro
  5. Kirwa

    Modern Coast

    Hata randa haina gavana.Dreamline pia sio mbaya
  6. Kirwa

    Huzuni mwingi

    Wakipigwa risasi watu wanateta
  7. Kirwa

    Huzuni mwingi

    Hawa watoi jo, hata ngeus wanamada.
  8. Kirwa

    Huzuni mwingi

    Hawa wezi wamezidi sasa
  9. Kirwa

    Scorpion zina ni sumbua sana

    Hii kitu ilingia kwa trouser yangu huko mandera,ilibidi nimetoa longi mbele ya umati wa watu.inauma mbaya sana
  10. Kirwa

    The mechanic (part 2)

    Endelea princes Diana
  11. Kirwa

    Borussia Dortmund kuchunishwa kales na Paderborn

    Wacha kuwa mchoyo buana,wekelea kitu hapa tule sote kakangu.
  12. Kirwa

    Likoni Ferry Again

    Na Jana nimepanda hiyo ferry inavutwa kitu saa mbili usiku,ilifika karibu katikati ikazima for about 15 minutes.sijawai tetemeka hivo nasijui kuswim.
  13. Kirwa

    Breaking: Filial Infanticide

    Uwesmake vipi
  14. Kirwa

    Dictator PURPLE

    Hehehe kaa hapa.But it's funny vile hiyo reason imeandikwa
  15. Kirwa

    Breaking: Filial Infanticide

    I know that woman personally, may her and the kids rest in peace
  16. Kirwa

    Telegram download

    Leta hiyo Link tuone Shida iko wapi
  17. Kirwa

    MT KENYA BBI Committee

    Wacha walete hiyo takataka tuiangushe
  18. Kirwa

    MT KENYA BBI Committee

Back
Top