Moi lived over 100 na Gidi said it, Moi hakuwa anachekesha nyama.
Then unaona mtu anakuambia ati nyama ni mbaya nyef nyef nyef
Ukiskiza hawa madaktari utaambiwa ukule spinach na carrot na waru moja pekee then maji glass 8 daily. No nyama, no beer, no tea, no biscuits.