Kwanza kuku kienjeji. Kuna siku nikiishi kwa bedsitter on a Saturday afte nilipika ingokho nikasema acha nikule shingo na mgongo, niende out then by midnight nikirudi nitapata imefanya ivyo umesema (percolate), saa usiku narudi with "crow" of the day, kufika kwa mlango napatana na mifupa...