Kuna colleague tulienda na yeye mtwapa, his was the first time there, usiku tuaenda Lambada, akiwa mlevi, ushamba yake ilimuonyesha swimo ni dance floor, acha Wamusee atumbukie huko na kila kitu from simu, wallet nguo etc. Sai anaamini Mtwapa kuna mazingaombwe na hawes kanyaga huko.