Hiyo Outbreak tumechoka kuingoja bana,, ata kwenye hii kitu ilitoka hakuna kitu chenye wanajua kuihusu. Kwa wenye wanakufa ni wakufe maybe ni milages zao wamefikisha.
Zile vitu JPM alikuwa hataki kwake ni vitu kaa hizi za kiujinga ujinga. Pahali Confirmed cases zimefika hakuna mewenye najua.. My contacts ni zaidi ya 1500 na hakuna ata mmoja nimesikia ati ako na corona.