Hawa vinara wa mafuta most of them wanatakaga vitu za haraka. Venye PSG inatakaga ni ichukua Champion na ndio maana the club owner anaimwagiliaga pesa ndiyo wa buy players...but PSG ni team moja kati ya zenye maswara😅😅..Tuchel at PSG alikuwa huko ju ya money money sio trophy's ama nini..
TT at...