Kwa ground vitu ziko ivyo. Angalia Arap Mashamba kila weekend ako harambee kwa Kanisa alafu unaskia mafala wakimsifia ati analeta maendeleo. AliaR naye kwa matanga hawess kosa
Ii mvua imeamua kunyesha paka na mbwa, tangu jana saa moja usiku na kuchukua half time breather kabla tena imwagike. Mark register ii mvua inakupata wapi? Mimi niko hapa Maa Land na saa ii bado kunanyesha
Uyo msee wa Probox amejaribu. Lakini pia watu wa Subaru ni a special kind of fools unaazaje kurace a Turbo na NA Engine ndio uprove point ati Subaru iko na mbio. Nikimalizia wote ni washenz mnarace aje kwa public road na saizo umekanyaga hadi kwa chuma umemaliza speed ometer
Shida kubwa ya kusource iyo part ni haiwess kuwa tested before mounting it kwa gari. Hapa nikupima ni macho na tayari iyo kupima na macho isha niangusha