Hakunyeshi, mimi nikiwa kwa iyo barabara manyangau za Inbound zilikuwa zimeruka kwa Outbound wameiconvert to Inbound. Wewe unateremka Mlolongo ka kawaida lakini ghasia inaenda Nairobi iko kwa lane ya Outbound inapanda bila wasi wasi.
Leo tuseme kulikuwa na "Happy Hour" kwa iyo barabara.