Search results

  1. J

    SHETANI ANAITHAMINI HATA MAITI YAKO.

    Biblia inatupa mwangaza wa jinsi shetani alivyomaanisha kweli kuwaangamiza wanadamu japokuwa sisi hatulijui hilo.. Unaweza ukadhani siku ukifa tu, ndio basi shetani anakuwa amemalizana na wewe. Huo mtazamo ni wakuuondoa kabisa kichwani.. Embu jaribu kifirikia kile kisa cha Musa, baada ya Kufa...
  2. J

    WACHUNGAJI WA BWANA MAKONDENI.

    Japo Wayahudi walikuwa wanamtazamia masihi wao kwa muda mrefu na kwa shauku nyingi, lakini tunasoma siku za kuzaliwa mwokozi duniani ni kikundi cha watu wachache sana ndicho kilichojua, tena kwa kufunuliwa. Wengine wote waliosalia hawakuelewa chochote, walizidi kuendelea katika mambo yao...
  3. J

    RAFIKI WA KWELI NI YUPI?

    Rafiki wa kweli ni mmoja tu naye ni YESU..Leo nitutazama ni kwanini!. Ni rahisi kujitoa kwa ndugu yako wa damu, kujitoa kwa mali na hali....hata wakati mwingine kujitoa hata uhai kwaajili ya ndugu yako wa damu, hilo linawezekana pia...Ndio, wengi wapo radhi wafe ili watoto wao waishi, wapo...
  4. J

    Please help!!

    Any other Kenyan forum apart from this one, and Kenyatalk..?
  5. J

    NA YEYE ALIYEKETI JUU YA WINGU AKAUTUPA MUNDU WAKE JUU YA NCHI, NCHI IKAVUNWA.

    Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Biblia inasema.. Ndugu saa ya mavuno, ipo karibu sana..tena Sanaa.. Utauliza tunajuaje kuwa ipo karibu? Tunajua kutokana na jinsi tunavyoona magugu na ngano yanavyojitenga kwa kasi katika kanisa la Mungu, na katika dunia kwa...
  6. J

    TAZAMA, NASIMAMA MLANGONI.

    Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu. Kama wengi wetu tunavyojua kuwa hakuna wokovu nje ya Yesu Kristo, wala hakuna Maisha nje ya Yesu Kristo. Kama Mtume Paulo alivyoandika kwa uweza wa Roho kwamba ‘Mauti ilikuja kwa njia ya mtu mmoja(Adamu)…kadhalika uzima...
Back
Top