Kwanza karao beste yako hufurahia ngori ikikutokea, atakuuliza huyo ofisa anaitwa Nani akijifanya mwokozi, atauliza mwenzame nini lmetokea ndio ajuwe atakukamua ngapi, Hapo Hapo unaitishwa namba yake ndio kama itakuwa 2k ukitoka hongo anarushiwa zake